Urahisi na wepesi wa Gmail, unapatikana katika vifaa vyote

FUNGUA AKAUNTI Jipatie Gmail
Kutana na
kikasha chako kipya
Vichupo vipya vinavyoweza kubadilishwa upendavyo vinakupa usukani ili uweze kutupia jicho yaliyo mapya na uamue barua pepe unazotaka kusoma na wakati wa kuzisoma. 

Kikasha kipya

Furahia Gmail kwenye kifaa chochote

Urahisi na wepesi wa Gmail, popote ulipo 

Send the Gmail app to your phone Pakua programu ya Android Pakua programu ya iOS
Vifaa vyako vyote
Vifaa vyako vyote
Angalia viambatisho
papo hapo
Angalia faili bila kuondoka kwenye Gmail. Unaweza hata kuweka viambatisho moja kwa moja kwenye Hifadhi yako ili uweze kuvipanga na kuvishiriki vikiwa mahali pamoja na salama. 

Angalia viambatisho papo hapo

Mandhari maalum

Idadi ya mandhari imeongezeka kutoka 35 hadi... hazihesabiki. Chagua picha yako mwenyewe uitumie kama mandhari maalum au uchague kutoka mkusanyiko wa picha zilizopo. 

Mandhari maalum Mandhari maalum Mandhari maalum Mandhari maalum
Mandhari maalum

Chukua hatua moja kwa moja katika kikasha chako

Fuatilia vifurushi, kagua bidhaa, jibu mialiko na mengine mengi bila kufungua barua pepe yoyote. 

Sehemu bora ya kutungia barua pepe

Sehemu bora ya kutungia barua pepe

Tunga barua pepe mpya huku ukiangalia kikasha chako. Sehemu ya kutungia barua pepe katika Gmail ni nyepesi, rahisi kutumia na imejaa vipengele mbalimbali. 

Pata anwani maalum ya barua pepe
&
na
mengine mengi
ukiwa na Gmail ya kazi

Tumia Gmail uipendayo - kwa ajili ya biashara. Pata anwani maalum ya barua pepe @kampuniyako.com inayojumuisha kalenda, hati, mikutano ya video, na mengine mengi pamoja na uwezo wa kufikia kwenye simu yako au kompyuta kibao. 

PATA MAELEZO ZAIDI
ANZA KUTUMIA